Berries weekend body splash
Berries Weekend Body Splash-Pink Edition 250ml Jipatie harufu nzuri na laini ya Berries Weekend Body Splash, yenye mchanganyiko wa matunda na maua ya kuvutia. Harufu yake inaanza kwa strawberry na raspberry zinazotoa harufu ya kuvutia, ikifuatiwa na jasmine na peony zinazoongeza mguso wa upole. Mwisho wake unafungwa na vanilla na musk vinavyotoa joto la kifahari na kudumu kwa muda mrefu. Ni chaguo kamili kwa anayependa harufu nyepesi, safi, na yenye uchangamfu kwa siku nzima.
GHARAMA
Bei ya Berries Weekend Body Splash-Pink Edition ni TZS 12,000 tu. Harufu ya kifahari kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza SPLASH yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.