ELY SIA
YARA PERFUMED OIL
Elysia Pista Sundae 50 ml ni harufu ya kipekee inayochanganya ladha tamu ya pistachio, maua laini ya jasmine na pear, pamoja na mchanganyiko wa vanilla na marshmallow, ikikuletea mvuto wa kipekee na kudumu muda mrefu kila unapoiweka, ikifanya iwe chaguo kamili kwa kila mwanamke anayependa harufu tamu na yenye hadhi.
Namna ya kuagiza
Agiza PERFUME yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.