MYDUKA ONLINE
WhatsApp

E-ODA SERVICE

E-ONLINE | Pre-Order ya Perfume
E-PERFUMES ODA
Perfume 1 Perfume 2 Perfume 3 Perfume 4

PRE-ORDER SERVICE

Karibu E-ONLINE PERFUMES PRE ORDER SERVICE! Hii ni huduma mahususi inayokupa nafasi ya kuweka order ya perfume unayopendelea mtandaoni kwa urahisi. Cha kufanya ni kuorodhesha perfume unayohitaji kwa kujaza fomu yetu ya pre-order, na tutahakikisha tunakutafutia na kukuletea perfume husika kulingana na oda yako.

Huduma yetu ni salama, haraka, na rahisi. Unaweza kulipa baada ya kuthibitisha oda kupitia simu au WhatsApp.

Mfano wa brand za Perfume ambazo unaweza kuagiza perfume zake

Dior

Sauvage, J'adore, Miss Dior: perfumes maarufu za kiume na kike zinazoleta harufu nzuri na ya kipekee.

Burberry

Burberry Her, Mr. Burberry, Berry Weekend: harufu zinazokubalika duniani, zinazoleta mtindo na mvuto wa kipekee.

Armani

Acqua di Gio, Armani Code, My Way: perfumes za kisasa zenye manukato laini na mvuto wa kipekee.

Hugo Boss

Boss Bottled, The Scent, Hugo Just Different: brand maarufu ya kiume na kike, zinazoleta urahisi na mvuto.

Jo Malone

Wood Sage & Sea Salt, Peony & Blush Suede: perfumes za luxury zinazojulikana kwa harufu yake ya kipekee.

Versace

Dylan Blue, Eros, Bright Crystal: brand za kifahari, zinazojulikana kwa manukato yenye mvuto wa kipekee.

Weka Pre-Order Yako Sasa

Chakufanya ni kubofya button ya kuweka oda. Kisha kujaza fomu na kuisubmit, kisha sisi tutapokea taarifa zako na kukupa mrejesho baada ya kuzipitia taarifa zako.

Maswali unayoweza kujiuliza

Nawezaje kuweka oda?
Unaweka oda kwa kubofya button ya kuweka oda kisha unajaza fomu yetu na tutakuletea bidhaa.

Malipo hufanyikaje?
Unalipa baada ya kuthibitisha oda kupitia simu/WhatsApp.

Bidhaa zinachukua muda gani kufika?
Kwa kawaida siku 1–3 kulingana na bidhaa na eneo ulilopo.

Je, mnatoa punguzo?
Ndiyo, tunatoa punguzo mara kwa mara kwa oda kubwa au wateja wa kudumu.

Wasiliana Nasi

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.