MYDUKA ONLINE
WhatsApp

Sol de Janeiro Brazilian Crush Cheirosa ’68 240ml

Nunua Yara Perfumed Oil
Sol de Janeiro Brazilian Crush
Yara Perfumed Oil

SOL DE JANEIRO

Sol de Janeiro Brazilian Crush Cheirosa ’68 240ml Ni harufu ya kifahari kutoka Brazil inayochanganya matunda ya dragonfruit, maua ya jasmine, na vanilla. Mist hii ya mwili na nywele inatoa harufu safi, laini na ya kupendeza inayokufanya ujihisi ni mwenye kujiamini kila siku. Ni vegan, cruelty-free, na haina kemikali hatarishi. Inafaa kwa matumizi ya kila siku, hasa katika mazingira ya joto.

GHARAMA

Bei Sol de Janeiro Brazilian Crush ni TZS 20,000 tu. Harufu ya kifahari kwa bei nafuu!

Namna ya kuagiza

Agiza SPLASH yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.

Logo

Karibu MyDuka Online

Logo

Karibu MyDuka Online

EADRYC {Mr.Online}