YARA PERFUME 50mls
YARA PERFUME 50mls
Yara Perfume 50ml ni harufu ya kifahari yenye mchanganyiko wa vanilla, matunda ya kitropiki na maua laini, inayodumu muda mrefu na kukuacha ukinukia kwa mvuto wa kipekee unaoelezea urembo, upole na kujiamini kwa mwanamke wa kisasa anayetaka kuonekana wa kuvutia katika kila tukio iwe kazini, kwenye hafla au katika siku za kawaida.Ni nzuri sana inaharufu yenye kuvutia na kukufanya ujiamini zaidi.
Namna ya kuagiza
Agiza PERFUME yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.