BERRY WEEKEND 25ml
Berry weekend 25ml
Berry Weekend Pink Edition 25ml ni perfume ya kupendeza yenye harufu tamu ya matunda na maua, ikibeba uzuri wa mwanamke mwenye furaha na mvuto wa asili, huku ikikuachia harufu nyororo, ya kifahari na ya kudumu inayokupa hisia ya kupumzika na kung’aa kila mahali unapoenda.
GHARAMA
Bei ya Berry Weekend Pink Edition 25ml ni TZS 15,000 tu. Harufu ya kifahari kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza PERFUME yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.
Karibu MyDuka Online